mukisha maliza kusali ishaa hakikisha mumelaza watoto.
1. Unakwenda kuoga
2. jifukize kisawa sawa
3. jipambe kwa make up, sio unajipaka tu wakati ukenda harusini 4. Andaa chakula kwa vyombo vizuri sio uvieke vya wageni.
5. hakikisha unakula na mumeo na huku una muangalia kwa mapozi ikiwezekana pia mlishe
6. baada ya kula kama make up imepungua ongeza nyingine
7. una kaa na mumeo sitting room tena uwe benet hata mbu asipate hata nafasi ya kupita tena remote kaa nayo wewe umulize honey,baby,habiby..... chanel gani wataka
8. pembeni kuwe juice ya machungwa muna nywishana
9. mkandekande na kumsugua
10. bebaneni mkafurahishane kitandani kweni.
Hiyo ndio ndoa na hayo yote ni yetu sisi waafrica, wazungu wameiba kwetu. Sasa sisi tumebaki wazungu wanajua mapenzi...
By: The ClickTz
Post a Comment